MATANGAZO MADOGO MADOGO

Saturday, July 2, 2016

Mradi wa Uwekaji wa Taa za Solar Katika Barabara za Zanzibar Likiendelea kwa Kasisi

Zoezi la Mradi wa usambazaji wa taa za solar likiendelea katika manispaa ya Zanzibar mafundi wakiwa katika barabara ya Magomeni Unguja
Mradi wa Uwekaji Taa za Solar katika barabara mbalimbali za Mji wa Zanzibar likiendelea na uwekaji wake kama walivyokutwa mafundi hawa wakiunga waya za Taa hizo katika barabara ya Magomeni Unguja zoezi hilo likiendelea