TAARIFA YA BARAZA LA
WATOTO JUU YA MATUKIO YA KUTISHA YANAYO
WAPATA WATOTO KATIKA MSIMU WA SKUKUU DHIDI YA MATUMIZI YA VIFAA VYA KUCHEZEA
KAMA BASTOLLA ZA CHUBWI,BARUTI,HATA NA MISHARE. AMBAVYO VINA MADHARA KWA WATOTO.
TAREHE 02/07/2016.
Nduguwaandishiwahabari,Wageniwaalikwa,
Assalamaleikum.
Kwaniabayawatotowamabazayawatotohapanchini,sisinimash
ahidiwamatukioyanayotokeakilaleoambayoyanakithirizaidikati
kawakatihuuwaskukuuzaeid,ambazozinafanyikatakribanimar
ambilikwamwaka.
Vifaa ambavyo vinauzwa vimekuwa na athari kubwa kwa watoto.la kutofuka macho kutokana na vifaa hivi vyenye ncha na kuruka,mfano mishale na bastola za chubwi,kumezwa na kuingia sehemu za hewa na vyengine sehemu za kula kama vile vifirimbi na mabofu.
Ndugu waandishi wa habari,pamoja na tamko hili tuna
ripoti ya wagonjwa walioathirika kwa mwaka 2015 ambao idadi yao haipungui watoto 24.
Tunaiomba serekali kupitia Wizara husika,pamoja na wafanyabiashara ambao wamekuwa wanausika kinamna moja
au nyengine katika swala la uuzaji na usambazaji wa vifaa hivi kushirikiana na kupiga marufuku
uuzaji wa bidhaa hizo katika sikukuu ya mwaka
2016 na
nyengine zinazokuja mbeleni,Ili kuhakikisha tunamlinda na kumtetea mtoto, aidha watoto wenye tabia za kutumia na kununua vifaa hivi tunawashauri kununua bastola bila ya chubwi na baruti au kutonunua kabisa.
ni hatari kwa afya yako na ya mtoto mwenzako.
Na malizia kwa ksema Kulinda na kutetea haki za watoto ni jukumu langu mimi na wewe.
No comments:
Post a Comment