Mkurugenzi wa Bank ya Amana Dk. Muhsin Masoud akimkabidhi zawadi ya Television mshindi wa kwanza wa kampeni ya Faidika na Amana Bank Bi Pikira Nlongane, wakati wa Hitimisho la kampeni hiyo iliyokuwa na lengo la kuwajengea uwezo watanzania wa kuwekeza zaidi,Hitimisho la Kampeni hiyo limefanyika wakati wa siku ya maonyesho ya kimataifa ya biashara saba saba Jijini Dar es salaam ambayo Bank ya amana ni moja kati ya wafanyabiashara waliokuwa na Banda katika Maonyesho hayo
Katika kuadhimisha
kilele cha kampeni ya Faidika na Amana Bank, imezawadiwa wateja wake waliobahatiika
kushinda zawadi mbalimbali kutokana na kujiwekea akiba zao na Benk hiyo leo
siku ya kilele cha maonyesho ya saba saba Tarehe 7/7/2016.
Wateja hao walichaguliwa
kitaalam katika droo iliyochezeshwa
ndani ya viwanja vya saba saba katika banda la amana bank na
kupewa taarifa ya kufika kupokea zawadi zao kutoka uongozi
mkuu wa bank hiyo wakiongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dk.
Muhsin Salim Masoud.
ndani ya viwanja vya saba saba katika banda la amana bank na
kupewa taarifa ya kufika kupokea zawadi zao kutoka uongozi
mkuu wa bank hiyo wakiongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dk.
Muhsin Salim Masoud.
Kampeni hiyo
iliyojumuisha wateja wa akaunti za akiba binafsi
kujiwekea akiba katika akaunti zao kuanzia kiasi cha shilingi
500,000 na kuendelea kwa muda wa miezi mitatu na kuweza
kupata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali za vifaa vya
matumizi ya nyumbani kama Luninga,Jokofu,Microwevu,Pamoja
na Table Feni yenye AC Pia.

Mkurugenzi wa Bank ya Amana DR MUHSIN MASOUD akizungumza na wanahabari wakati wa Utoaji wa zawadi hizo kwa washindi wanne wa Kampeni ya Faidika na Amana Bank ambapo amewataka watanzania kuwa na utamaduni wa kuwekeza kwani ni utamaduni mzuri na unaofaa kuendelezwa |
Akizungumza na
wanahabari mapema leo wakati wa utoaji wa
zawadi hizo kwa washindi hao meneja masoko wa Bank hiyo
Ndugu DASSU MUSSA amesema kuwa bank ya amana
imejipanga kuendelea kuwafikia na kuwapatia watanzania wote
huduma bora zenye ubunifu na zenye tija kufuatana na mahitaji
yao mbalimbali,huDuma pia ambazo zinafwata misingi ya sheria ya kiislamili kuwapatia faida iliyo halali na kuwaondoa katika mzigo wa riba.

Aidha amewahamasisha watanzania
wote kujijiengea na
kudumisha utamaduni wa kujiwekea akiba ya pesa kwa ajili ya malengo mbalimbali katika benk ya amana ili wapate kufurahia huduma bora zitowelewazo kwa ufanisi na weledi wa hali ya juu.
kudumisha utamaduni wa kujiwekea akiba ya pesa kwa ajili ya malengo mbalimbali katika benk ya amana ili wapate kufurahia huduma bora zitowelewazo kwa ufanisi na weledi wa hali ya juu.
Meneja masoko wa Bank ya Amana Ndugu DASSU MUSSA akifafanua jambo kwa wanahabari ambao walifika kushughudia Utoaji wa zawadi hizo katika Banda lao lililopo katika maonyesho ya saba saba ambayo ndiyo yanaelekea ukingoni |
Ameongeza kuwa kampeni
ya faidika na amana bank ni
mwanzo tu wa kampeni za bank hiyo zitakazohusisha wateja kuweka fedha na kujishindia zawadi mbalimbali kutoka amana bank ukiachia faida nyingine zipatikanazo kwa wateja kujiwekea akiba huku akisema kuwa wanatarajia kutangaza kampeni nyingine kubwa itakayowezesha wateja wengiine Zaidi kujishindia zawadi lukuki kutokana na kujiwekea utaratibu wa kuweka akiba zao amana Bank Bank ambayo inafwata misingi ya kiislam kikamilifu.

Zawadi ambazo zimetolea kwa washindina Bank ya Amana ambazo jumla zimegharimu kiasi cha shilingi million Tano |
Aidha akiwahamasisha
watanzania kujiunga na Bank hiyo
amesema kuwa watanzania wengi wamekuwa wakidhani Bank
hiyo ni kwa ajili ya waislam jambo ambalo sio kweli huku akitanabaisha kuwa Bank hiyo inahusisha wateja wa Dini zote bila kubagua hivyo watanzania wajiunge kwa wingi katika Bank hiyo,

Washindi waliojishindia
zawadi mbalimbali katika hitimisho la Kampeni hiyo ya Faidika na Amana Bank ni
pamoja na Pikira Nlongane aliyejishindia zawadi ya Televission kwa kuwa mshindi
wa kwanza,Shakira Ibrahim aliyeshika nafasi ya pili na kujishindia zawadi ya
Friji kubwa,Khamis Said aliyejishindia Microwave huku mshindi wa nne akiwa ni
Hemed Suleiman aliyejishindia Table Feni katika droo hiyo.
Picha ya Pamoja maafisa wa Bank ya amana wakiwa na washindi wa Zawadi mbalimbali za kampeni ya Faidika na Amana Bank mara baada ya utoaji wa zawadi hizo katika maonyesho ya Saba saba |
Bank ya amana ni bank
inayoongozwa kwa ustadi mkubwa na
misingi ya Dini ya kiislam huku ikiwahudumia watanzania
wapatao Elfu 34 katika matawi yake saba nchi nzima hadi sasa.
misingi ya Dini ya kiislam huku ikiwahudumia watanzania
wapatao Elfu 34 katika matawi yake saba nchi nzima hadi sasa.
No comments:
Post a Comment