Afisa Mdhamini wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Abdalla Ali Ussi, akitowa maelezo kwa Waandishi wa habari juu ya ufafanuzi wa mizani ya kupimia Karafuu katika kituo cha ununuzi karafuu cha mkoani, na kusema kwamba mezani hiyo ni nzima na wala haina matatizo.
Baadhi ya waandishi wa habari Kisiwani pemba, wakimsikiliza kwa makini mdhamini wa ZSTC Pemba, Abdalla Ali Ussi, akitowa ufafaunuzi wa mizani ya kupimia Karafuu huko katika kituo cha kununulia karafuu cha mkaoni
inayodaiwa ni mbovu, jambo ambalo sio kweli.( Picha na Bakar Mussa-Pemba.)
No comments:
Post a Comment