Wednesday, October 12, 2016

Matembezi ya hiyari na zoezi la kuchangia damu kufanyika tarehe 16/10/16

 Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed akitoa tarifa kwa wandishi wa habari kuhusu matembezi ya hiyari na zoezi la kuchangia Damu kwa Mkoa Mjini Magharibi yatayofanyika tarehe 16/10/2016.  
 Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed akitoa tarifa kwa wandishi wa habari kuhusu matembezi ya hiyari na zoezi la kuchangia Damu kwa Mkoa Mjini Magharibi yatayofanyika tarehe 16/10/2016.  
Sehemu ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud alipokuwa akitoa tarifa kuhusu matembezi ya hiyari na zoezi la kuchangia Damu kwa Mkoa Mjini Magharibi.
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar