Habari za Punde

Rais Dkt.Magufuli Amuapisha Naibu Katibu Mmkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Khatibu Malimi Kazungu kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa pili kutoka kulia, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakwanza kushoto, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Doto James wakwanza kulia pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Khatibu Malimi Kazungu Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.