Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akitembea pamoja
na Askari Polisi ambao huongoza
misafara ya viongozi VIP riders mara
baada ya kuwasili Ikulu wakati wakitokea katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi
waliohudhuria sherehe za miaka 55 ya
Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mara baada
ya kuwasili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa uwanjani
hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua gwaride katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya
kuwasili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mama Fatma Karume mara
baada ya kumaliza kuhutubia katika uwanja wa Uhuru.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu
ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya Kuwasili katika uwanja wa Uhuru.
Kikosi
cha Maadhimisho cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania kikionesha gwaride la
kimyakimya mbele ya Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Uhuru.
Vikosi
mbalimbali vya Majeshi vikipita mbele ya mgeni Rasmi kwa mwendo wa pole na
Haraka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam.
Vikosi
mbalimbali vya Majeshi vikipita mbele ya mgeni Rasmi kwa mwendo wa pole na
Haraka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliojitokeza
katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliojitokeza
katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment