Habari za Punde

Balozi Seif alipotembelea Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani


 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akikagua moja ya mashine za kisasa zilizomo ndani ya Hospitali ya Abdalla Mkoani, katika ziara yake ya siku tatu kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali iddi, akipata maelezo ya mashinde ya X-RAY inavyofanya kazi, kutoka kwa Mtaalamu Daktari Makame, wakati alipotembelea Chumba hicho kilichomo katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, katika ziara yake ya siku tatu Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akionyeshwa moja ya vifaa vinavyotumika katika moja ya mashine zilizomo ndani ya Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani,wakati alipofanya ziara katika hospitali hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe;Balozi Seif Ali Iddi, akipata maelezo juu ya ufanyaji wa kazi wa Maabara iliyomo katika hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, kutoka kwa Dk Khamis Bilali wakati alipotembelea maabara hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akipata maelezo ya utoaji wa huduma kwa wagonjwa kutoka kwa mmoja wa madaktari waliomo katika hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, wakati alipotembelea hospitali hiyo katika ziara yake ya siku tatu kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 DAKTARI dhamana wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Haji Mwita Haji, akielezea matatizo ya wagonjwa kwa makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe;Balozi Seif Ali iddi, wakati alipotembelea hospitali hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na madaktari mbali mbali wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, mara baada ya kutembelea hospitali hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

MKUU wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akitoa maelezo kwa makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe;Balozi Seif Ali iddi, wakati alipotembelea hospitali hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.