Habari za Punde

Mgombea wa CCM ashinda uchaguzi wa Diwani wadi ya Ndagoni, Chakechake

 MAKARANI wa Tume ya Uchaguzi wakihesabu kura, baada ya kupigwa na wananchi katika uchaguzi mdogo wa Udiwani Wadi ya Ndagoni Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WASIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Ziwani Wilaya ya Chake Chake, wakijaza matokezo katika Fomu maalumu, baada ya zoezi la upigaji wa Kura kumalizika, kulia ni msimamizi wa uchaguzi jimbo la Ziwani Othman Khamis Othman.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Ziwani Othman Khamis Othman, akitangaza matokeo ya uchaguzi Wadi ya Ndagoni Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Ziwani, akimkabidhi satafiketi mshindi wa Udiwani wadi ya Ndagoni Arafa Kassim Abass wa Chama Cha Mapinduzi, baada ya kupata kura 1,310 sawa na 91.42% na kumshinda mpinzani wake kupitia ADC Khamis Juma Abdalla aliyepata kura 123 sawa na 8.6%.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.