Habari za Punde

Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi wa Mpango Micheweni Pemba.

 Ofisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba, Bakar Ali Bakar, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya Uzazi mpango katika viwanja vya Mshaame Matta-Micheweni Pemba
 Baadhi ya Wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni hiyo, wakisikiliza kwa makini hutuba ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi wa Mpango , iliyosomwa na Naibu Waziri wa Afya , Harousi Ali Suleiman , huko katika Viwanja vya Shaame Mata Micheweni Pemba.

 Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi wa Mpango huko Micheweni Pemba, ambae pia ni Naibu Waziri wa Afya , Harousi Said Suleiman, akizungumza na Wananchi juu ya Kampeni hiyo.


Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Afya Pemba, wakiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi wa Mpango huko Micheweni Pemba.

Picha na Habiba Zarali -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.