Habari za Punde

Wananchi na Wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN ) Wauaga Mwili wa Bloggers Jenifer Katika Hospitali ya Amana Ilala Jijinin Dar es Salaam na Kusafirishwa Kijiji Kwao Nachingwea kwa Ajili ya Mazishi.

 Mabloggers na Wananchi na Wanafamilia wakiwa katika viwanja vya Hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam wakiuaga Mwili wa Marehemu Jenifer Livigha maarufu kwa Jina la Chinga One mmiliki wa Blog ya www.chingaone.com, amefari dunia juzi 18-2-2017 nyumbani kwake kinyerezi Jijini Dar es Salaam na kuagwa leo katika viwanja vya Hospitali ya Amana Ilala Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusafirishwa Kijiji kwao Nachingwea kwa ajili ya mazishi.
Mabloggers mbalimbali wa Jumuiya ya Tanzania Bloggers Network wakiwa katika viwanja vya hospitali ya Amana Ilala wakisubiri kuuanga mwili wa Marehemu Jenifer Livigha kwa ajili ya kusafirisha kijiji kwao Wilayani Nachingwea kwa ajili ya mazishi
Mabloggers wakitafakari na Mwenyekiti wao wa TBN Mushi Jouchim mwenye fulana ya mistari akiwa na mkoba katika viwanja vya hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam walipofika kuuaga mwili wa marehemu leo mchana.21-2-2017







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.