Habari za Punde

Waziri wa elimu akabidhi magodoro kwa wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Moh'd Juma Pinduwa , Mkoani Pemba.

 Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma, akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Moh'd Juma Pinduwa ilioko Mkanyageni Pemba , wakati wa hafla ya kukabidhi magodoro kutoka kwa mfanyabiashara maarufu Said Nassir Nassor (BOPAR).
 Mfanyabiashara maarufu Zanzibar, Said Nassir Nassor ( Bopar) akimkabidhi magodoro na madira , Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar , Riziki Pembe Juma,kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Moh'd Juma Pinduwa , Mkoani Pemba.
 Magodoro ambayo yamekabidhiwa na Bopar kwa Skuli ya Moh'd Juma Pinduwa ya Mkanyageni Mkoani Pemba.


Picha ya pamoja baina ya Waziri wa Elimu na mafunzo ya amali Zanzibar, Said Nassir Nassor (Bopar) na Wanafunzi wa Skuli hiyo ya Moh'd Juma Pinduwa Mkanyageni Pemba.

Picha na Hanifa Salim -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.