Habari za Punde

Hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi ​Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aki​fuatana na Waz​iri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma alipowasiki katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi ​Mnazi mmoja Mjini Unguja katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali​ vilivyotolewa na ​Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.

Baadhi ya Viongozi wa Serikali,Walimu wakuu wa Skuli mbali mbali za Sekondari pamoja na Wanafunzi wakiwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
​ vilivyotolewa na ​Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi
​ 
​katika ​Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi ​Mnazi mmoja Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.

Baadhi ya 
 Wanafunzi wa Skuli za Sekondari 
​za Serikali 
wakiwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
​ vilivyotolewa na ​Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi
 ​katika ​Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi ​Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017

​ 

Baadhi ya 
 Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari 
​za Serikali na Walimu wa Michezo 
wakiwa 
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
​ vilivyotolewa na ​Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe, Mohamed Raza Daramsi
 ​
​katika ​Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi ​Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017
​.

​ 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(kulia) ​aki
​pokea Vifaa vya Michezo 
kutoka kwa  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe, Mohamed Raza Daramsi 
​ambavyo vitakabidhiwa kwa Uiongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali na kutumika katika  mashindano mbali mbali  ya wanafunzi wa Skuli za Sekondari, katika 
​hafla iliyofanyika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi ​Mnazi mmoja Mjini Unguja
,
[Picha na Ikulu.] 25/04/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
​(kulia) ​aki
​pokea Kikombe cha mashindano ya Michezo ya Skuli za Sekondari kutoka kwa  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika 
​hafla iliyofanyika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi ​Mnazi mmoja Mjini Unguja
,
[Picha na Ikulu.] 25/04/2017

Baadhi ya 
 Wanafunzi wa Skuli za Sekondari 
​za Serikali 
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
​(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati 
wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
​ vilivyotolewa na ​Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia Mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi 
​katika ​Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi ​Mnazi mmoja Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017
​.

​ 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
​(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Walimu Wakuu pamoja na Wanafunzi wakati 
wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali 
​ vilivyotolewa na ​Mwakilishi wa Jimbo la Uzini pia mfanyabishara Mzalendo Mhe,Mohamed Raza Daramsi 
​katika ​kumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi ​Mnazi mmoja Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.] 25/04/2017

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.