Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Azindua Kituo Kipya Cha Ununuzi Karafuu ZSTC Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akikata utepe kuzindua Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Mgelema leo, Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kikazi,(kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la ZSTC Dkt.Said Seif Mzee
Katibu Mkuu Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Ng,Bakari Haji Bakari akitoa maelezo ya Kitaalam kuhusu ujenzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,mara baada ya kuzinduliwa rasmi leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananchi wa Kijijini cha Ngomeni Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kijijini cha Ngomeni Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu kijijini akiwa katika ziara ya kikazi
Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wengine waliohudhuria katika Uzinduzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,wakimsikiliza Waziri wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananchi Kijijini hapo leo akiwa katika ziara ya kikazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kijijini cha Mgelema Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu kijijini hapo akiwa katika ziara ya kikazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,  (katikati) ​ alipokuwa aki​pata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Miundombinu Ng,Mustafa Aboud Jumbe alipotembelea ujenzi wa Barabara ya Ole-Kengeja mpaka Ole Muhogoni Kiziwamaji,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa wa Kusini Pemba ​(Picha na Ikulu) 04/04/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.