Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kutimia kwa Mwaka Mmoja wa Uongozi Wake na Kuzungumzia Mafanikio na Changamoto.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja akisisitiza jambo wakati akitowa Taarifa yake ya mafanikio katika kipindi cha mwaka mmoja tangu kuteuliwa kushika nafasi hiyo. Na kutowa maelezo ya Mafanikio ya Uongozi wake na Changamoto anazokutana nazo.  
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar katika ukumbi wa sanaa rahaleo Zanzibar.
Waandishi wa habari Zanzibar wakiwa makini kusikiliza maelezo ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati wa mkutano wake wa kuadhimisha mwaka mmoja wa Uongozi wake tangu kuchaguliwa kuuongoza Mkoa huu.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.