Habari za Punde

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalumu akutana na masheha wilaya ya Chake

 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akimkaribisha Naibu Waziri  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalumu za SMZ, Shamata Shaame Khamis , ili aweze kuzungumza na Msheha wa Wilaya hiyo huko katik ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa Kusini Pemba.
  Masheha wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakiwa katika Mkutano wao na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalumu huko katika Ofisi ya mkoa wa Kusini Pemba.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalumu za SMZ, Shamata Shaame Khamis, akizungumza na masheha wa Wilaya ya Chake Chake , huko katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba.


Picha na Hanifa Salim-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.