Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati wa Nyimbo za Mataifa mawili (Tanzania
& Afrika Kusini) zikipigwa katika
viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob
Zuma akipita kukagua Gwaride la Heshima aliloandaliwa na Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob
Zuma akipita kukagua Gwaride la Heshima aliloandaliwa na Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati wakiangalia vikundi vya
ngoma za asili vilivyokuwa vikitumbuiza ndani ya viwanja vya Ikulu kwa Heshima
ya ugeni huo wa Rais wa Afrika Kusini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mgeni wake Rais wa
Afrika Kusini Jacob Zuma kabla ya kuanza mazungumzo yao Rasmi Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa
Afrika Kusini Jacob Zuma wakati wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano kwa ajili
ya kujadili masuala mbalimbali ya Kimaendeleo yahusuyo mataifa hayo mawili ya
Tanzania na Afrika Kusini.
Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipunga mkono wakati akiwasili Ikulu akiwa pamoja
na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli.
Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipunga mkono wakati akiwasili Ikulu akiwa pamoja
na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini
Jacob Zuma kabla ya kuanza kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na mgeni wake Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
akisoma hotuba yake wakati akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni wake Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipiga ngoma wakati alipowasili Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob
Zuma akizungumza jambo na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya
kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais Dkt.
John Pombe Magufuli
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mama Sizakele Zuma
Mke wa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kufika ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mama Sizakele Zuma Mke wa Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma aliyeambatana na msaidizi wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Vikundi vya Matarumbeta
vikitoa burudani wakati Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma alipowasili Ikulu
jijini Dar es salaam.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment