Habari za Punde

KAMPUNI YA MAWASILIANO YA ZANTEL YAJUMUIKA NA WAFANYAKAZI NA WADAU WAKE KWA FUTARI JIJINI DAR


Baadhi ya wafanyakaziwa Zantel wakijumuika katika tafrija ya futari maalumu kwa ajili yao katika kipindi hiki cha mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Tafrija hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam.  
MkurugenziMkuuwa Zantel,Benoit Janin(wa kwanza ushoto)akifurahiajambonabaadhiyaviongoziwaKampunihiyowakatiwatafrijayafutariiliyoandaliwanaZantelkwaajiliyawafanyakazinawadaumbalimbalikatikakipindihiki cha mfungoMtukufuwaRamadhani. Tafrijahiyoilifanyikajanajijini Dar es Salaam. 

Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akizungumza wakati wa tafrija ya futari maalumu iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi na wadau mbali mbali katika kipindi hiki cha mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Tafrija hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu Zantel Joanitha Mrengo akizungumza wakati wa tafrija ya futari maalumu iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi na wadau mbali mbali katika kipindi hiki cha mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Tafrija hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.