Habari za Punde

Matukio Kisiwani Pemba.

Wananchi katika Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba wanaiomba taasisi husiku kulivunja jengo hili lililojengwa na mkandarasi likiwa chini ya kiwango cha ujenzi wake na kutokea hitilafu za kupasuka kuta zake kabla ya ujenzi kumalizika na mkandarasi husika kuingia miti. SWanaomba kuchukuliwa hatu za kulivunja jengo hilo kuepusha kuleta athari zaidi katika eneo hilo. (Picha na Haji Nassor, Pemba). 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.