Habari za Punde

Pirikapirika za Maandalizi ya Eid ei Fitry Zanzibar.

Wazazi wakiwa katika harakati za kukamilisha maandalizi ya sukukuu kwa ajili ya mapambo ya watoto wao wakiwa katika moja ya maduka hayo katika mtaa wa mkunazini unguja wakipata huduma hiyo.Waumini wa dini ya kiislamu duniani wanajitayarisha kusherehekea sikukuu hii baada ya mfungo wa mwenzi mtukufu wa ramadhani wiki ijayo baada ya kuandama kwa mwezi.
Wafanyabiashara wa kuku katika marikiti darajani wakisubiri wateja wao katika kipindi hichi bei ya kuku imekuwa juu wanaushwa kwa shilingi 7,500/= na 13,500/= inategemea na ukubwa wake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.