Habari za Punde

ADC Yapokea Wanachama 25 Wapya Kutoka Chama Cha TADEA Zanzibar.

Mwenyekiti wa Wilaya ya Mchinga  ADC Tanga, Ndg Mussa Jangwa Bohero akisoma dua kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya kuwapokea na kuwakabidhi Kadi Wanachama Wapya 26 kutoka Chama cha ADA-TADEA na kujiunga na Chama cha ADC hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za ADC Bububu Zanzibar.   
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ADC Ndg Khamis Mohammed Kombo akizungumza wakati wa kuwapokea na kukwakabidhi Kadi Wanachama Wapya 25 kutoka Chama cha TADEA hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za ADC Bububu Zanzibar
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha ADC Ndg Khamis Mohammed Kombo (kulia )akimkabidhi Kadi Mwanachama Mpya kutoka Chama cha ADA –TADEA  aliyekuwa Katibu wa Mkoa wa  Kusini Unguja Ndg. Issa Ame Issa , baada ya kujiunga na Chama cha ADC  akipokea Kadi hizo kwa  niaba ya Wanachama wezake 25,waliojuinga na Chama hicho hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya ADC  bububu Unguja
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha ADC Ndg Khamis Mohammed Kombo (kulia )akimkabidhi Kadi Mwanachama Mpya kutoka Chama cha ADA –TADEA  aliyekuwa Katibu wa Mkoa wa  Kusini Unguja Ndg. Issa Ame Issa , baada ya kujiunga na Chama cha ADC  akipokea Kadi hizo kwa  niaba ya Wanachama wezake 25,waliojuinga na Chama hicho hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya ADC  bububu Unguja
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha ADC Ndg Khamis Mohammed Kombo (kulia )akimkabidhi Kadi Mwanachama Mpya kutoka Chama cha ADA –TADEA  Hamad Rashid Kombo aliyekuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Amana Zanzibar,, baada ya kujiunga na Chama cha ADC  akipokea Kadi hizo kwa  niaba ya Wanachama wezake 25,waliojuinga na Chama hicho hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya ADC  bububu Unguja
Mwenyekiti wa Wilaya ya Mchinga Tanga Ndg.Mussa Jangwa Bohero, akizungumza wakati wa hafla hiyo na kutowa nasaha zake kwa Wanachama wa ADC wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ofisi za ADC Bububu Zanzibar.  

Aliyekuwa Katibu wa Chama ADA-TADEA Ndg.Issa Ame Issa, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kujiunga na Chama cha ADC na kutowa shukrani zake kwa Wanachama wa ADC kwa kuwapokea pamoja na wanachama wengine 25 waliojiunga na chama hicho.
Aliyekuwa Mwanachama wa ADA-TADEA Ndg.Hamad Rashid Kombo aliyegombea Ubunge Jimbo la Amani kwa tiketi ya Chama hicho Amejiunga na ADC akitowa shukrani zake kwa Uongozi wa ADC baada ya kukabidhiwa kadi na Naibu Katibu Mkuu wa ADC Zanzibar. 

Waandishi wa habari wakifuatilia hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.