Habari za Punde

Balozi Amina Azungumza na Waandishi Kuhusu Baraza la Wazalishaji Bidhaa Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi mara Baada ya kuzinduwa Baraza la Wazalishaji katika Hoteli ya Grand Palace, Malindi Mjini Unguja.

Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wenye Viwanda Kilimo na Utalii(ZNCCIA), Taufiq Turky akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya Kuzinduliwa kwa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace  Malindi Mjini Unguja.

(PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.