Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi
wengine akifungua mradi mkubwa wa maji
katika kijiji cha Nyamazugo Wilayani Sengerema. Mradi huo unatarajiwa kuhudumia
wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na asilimia 33 ya awali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo
ya mradi huo mkubwa wa maji kutoka kwa Mhandisi wa Mamlaka ya Maji safi na
Usafi wa Mazingira Antony Sanga wakati alipoanza ukaguzi wa mradi huo kabla ya
kuufungua.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Waziri wa Maji Eng. Gerson Lwenge wakati
akielekea kukagua mradi wa maji katika kijiji cha Nyamazugo Wilayani Sengerema.
Mradi huo unatarajiwa kuhudumia wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na
asilimia 33 ya awali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya
kufungua mradi huo wa maji Wilayani Sengerema.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimongeza
Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada maarufu wa CHADEMA kanda ya Ziwa
Hamis Tabasamu mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha
Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana
mikono na waandishi wa habari mbalimbali
wa mkoani Mwanza ambao walishiriki katika kazi ya ufunguzi wa mradi mkubwa wa
maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mwenyekiti wa Kamati ya amani ya Mkoa wa Mwanza Sheikh Hassan Kabeke mara baada
ya kufungua mradi huo wa maji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi
wa Sengerema mjini wakati akielekea
Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwanachama
mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada maarufu wa CHADEMA kanda ya Ziwa Hamis Tabasamu
wakati akihutubia wakazi wa Sengerema mara mara baada ya kuzindua mradi mkubwa
wa maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia
wanafunzi wa Sekondari mara baada ya kuhutubia wakazi wa Sengerema vijijini
wakati akielekea kuzindua mradi wa Maji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Geita mara baada ya kuwasili mkoani humo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment