Habari za Punde

Wanafunzi skuli za sekondari Pemba wapatiwea mafunzo ya haki za binadamu

 WANAFUNZI wa Skuli mbali mbali za Sekondari kutoka Wilaya nne za kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya Haki za Binaadamu, yaliyotolewa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Tawi la Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
 MRATIB wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed akiwasilisha mada ya haki za Watoto, kwa wanafunzi wa skuli za Sekondari Kisiwani Pemba, huko katika Ukumbi wa Kituo hicho
Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
 AFISA elimu ya Ukimwi kutoka Tume ya Ukimwi Zanzibar Tawi la Pemba, AFISA elimu ya Ukimwi kutoka Tume ya Ukimwi Zanzibar Tawi la Pemba, Ali Mbarouk Omar akiwasilisha mada ya athari za Madawa ya Kulevya kwa
wanafunzi wa skuli za Skondori Kisiwani Pemba, wakati wa mafunzo ya haki za Binaadamu yaliyoandaliwa na ZLSC.(PICHA NA ABDI SULEIMAN

AFISA Mipango kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Tawi la Pemba, Safia Saleh Sultani akiwasilisha mada ya sheria ya Ukimwi kwa wanafunzi wa skuli za sekondari Kisiwani Pemba, wakati wa mafunzo ya
haki za binaadamu huko katika kituo cha ZLSC.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).BAADHI ya wanafunzi wakiwa katika kazi za vikundi, wakati wa mafunzo ya haki za binaadamu yaliyoandaliwa na kituo cha huduma za Sheria Zanzibar Tawi la Pemba Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.