Habari za Punde

Gunia 14 za karafuu zakamatwa zikiwa katika harakati za kusafirishwa kwa njia ya magendo

 WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Balozi Amina Salim Ali akiangalia maguni 14 ya karafuu zilizokamatwa wakati zikitaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo Katika eneo la Ndooni Mtambwe Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
 MKUU wa Wilaya ya Wete Rashid Hadid Rashidi, akitoa ufafanuzi kwa waziri wa biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, juu hatua zilizopo za kudhibiti magendo ya Karafuu kwa Wilaya yake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

WAZIRI wa Biashara viwanda na Masoko Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, akitoa ufafanuzi kwa viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya mikakati ya serikali kukabiliana na magendo ya karafuu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

   MASHUA inayojulikana kw ajina la Halipo yenye namba za usajili z 1476, iliyokamatwa ikisafirisha 14 za karafuu kwa njia ya Magendo, ikiwa chini ya ujizi wa Polisi katika bandari ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
  MASHUA inayojulikana kw ajina la Halipo yenye namba za usajili z 1476, iliyokamatwa ikisafirisha 14 za karafuu kwa njia ya Magendo, ikiwa chini ya ujizi wa Polisi katika bandari ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MKUU wa Wilaya ya Wete Rashid Hadid Rashid, akimuonyesha Vitambulisho na Picha zilizokutwa ndani ya mashua iliyokamatwa ikisafirisha gunia 14 za karafuu kwa njia ya magendo, Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Balozi Amina Salim Ali.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.