Habari za Punde

Kikosi cha Timu ya JWTZ Mchezo wa Basketi Ikijiandaa na Michuano ya Majeshi ya Afrika Mashariki Nchini Burundi Mwezi Huu 26/8/2017.

Wachezaji wa mchezo wa JWTZ wakijiandaa na michuano ya Majeshi ya Afrika Mashariki yanayotarajiwa kufanyika Nchini Burundi mwezui huu 26, Agusti kutimbua vumbi kwa michezo mbalimbali. Wakiwa katika Kambi yao ya mazoezi Zanzibar kujiandaa ni michuano hiyo. Wakifanya mazoezi hayo katika uwanja wa Nyuki maisara Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.