SHAMBA la mboga mboga mchanganyiko
linalomilikiwa na mjasiriamali Mkubwa Ali Mkubwa, mkaazi wa Vitongoji wilaya ya
Chakechake kisiwani Pemba, ambapo alianza na mtaji wa shilingi 500,000 na
tayari ameshapata mapato yake zaidi ya mara nne ya fedha hizo, kwa muda wa miaka
mitano sasa, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
MJASIRIAMALI wa kilimo cha mboga mboga Mkubwa Ali Mkubwa
mkaazi wa Vitongoji wilaya ya Chakechake, akiwa na wafanyakazi wake aliowaajiri
kwenye shamba lake lilioko Makaani, wakifanya usafi kwenye shamba la mitungule,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJASIRIAMALI wa kilimo cha mboga mboga Mkubwa Ali Mkubwa
mkaazi wa Vitongoji wilaya ya Chakechake, akiwa na wafanyakazi wake aliowaajiri
kwenye shamba lake lilioko Makaani, wakifanya usafi kwenye shamba la mitungule,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJASIRIAMALI wa kilimo cha mboga mboga
Mkubwa Ali Mkubwa, mkaazi wa Vitongoji wilaya ya Chakechake akiwa
anajitayarisha kupandisha maji kwa kutumia mashine, kwenye mapipa kutoka kwenye
kisima chake, kwa kumwagilia mboga mboga , mjasiriamali huyo analalamikia
kukosa kutembelewa na viongozi wa serikali na hajuwi taasisi zinazotoa mikopo
isio na riba, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
Mjasiriamali Mkubwa Ali Mkubwa, mkaazi wa Vitongoji wilaya ya Chakechake
kisiwani Pemba, ambapo kwa sasa mjasiriamali huyo, anasema hathamini kazi
nyengine, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
SHAMBA la zao la kitunguu maji linalomilikiwa
na mjasiriamali Mkubwa Ali Mkubwa, mkaazi wa Vitongoji wilaya ya Chakechake
kisiwani Pemba, ambapo kwa sasa mjasiriamali huyo, anasema hathamini kazi
nyengine, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJASIRIAMALI wa kilimo cha mboga mboga
Mkubwa Ali Mkubwa mkaazi wa Vitongoji wilaya ya Chakechake, akizungumza na
waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali waliofika kwenye shamba lake
kuzungumza nae, ambapo analalamikia kukosa kutembelewa na viongozi mbali mbali,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
MIDIMU inayomilikiwa na mjasiriamali wa kilimo cha mboga mboga
Mkubwa Ali Mkubwa, mkaazi wa Vitongoji wilaya ya Chakechake, ikiwa tayari
kuvunwa, ingawa shaka yake ni kukosa wateja na huwenda akapoteza wastani wa
shilingi 600,000, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
No comments:
Post a Comment