Habari za Punde

Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatoa Elimu ya Urai na Sheria Kisiwani Pemba.

Sheha wa shehia ya Konde wilaya ya Wete Pemba Abdalla Omar, akifungua mkutano wa wazi wa uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba na kufanyika skuli ya msingi Konde, 
WANANCHI wa rika tofauti wa shehia ya Konde wilaya ya Wete kisiwani Pemba, wakifuatilia mkutano wa wazi wa uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika skuli ya msingi ya Konde
 WANANCHI wa rika tofauti wa shehia ya Konde wilaya ya Wete kisiwani Pemba, wakifuatilia mkutano wa wazi wa uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika skuli ya msingi ya Konde
WANANCHI wa rika tofauti wa shehia ya Konde wilaya ya Wetw kisiwani Pemba, wakifuatilia mkutano wa wazi wa uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika skuli ya msingi ya Konde
Mratibu wa Kituo cha Huduma Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed, akiwaeleza wananchi wa shehia ya Konde, historia ya Katiba ya Zanzibar, kwenye mkutano wa wazi wa uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo hicho, na kufanyika skuli ya msingi ya Konde
AFISA  Mipango wa Kituo cha Huduma Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Mohamed Khamis Ali, akiwaeleza wananchi wa shehia ya Konde, mambo ya msingi yaliomo kwenye Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, kwenye mkutano wa wazi wa uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo hicho, na kufanyika skuli ya msingi ya Konde, 
(Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.