Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Aendelea na Ziara Yake Atembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa Fumba Town Develepment Nyamanzi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mawaziri na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Nyumba za Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja akiwa katika ziara yake Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa Fumba Town Debvelopment Sebastian alipowasili katika viwanja vya Mradi huo huko Nyamanzi maeneo huyu ya Uchumi Zanzibar akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Mkurugenzi wa Mradi wa Nyumba za Kisasa Fumba Town Development Sebastian akitowa maelezo ya ramani ya majengo katika eneo hilo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipotembelea Mradi huo wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa wananchi Zanzibar.
Mkurugenzi wa Mradi wa Nyumba za Kisasa Fumba Town Development Sebastian akitowa maelezo ya ramani ya majengo katika eneo hilo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipotembelea Mradi huo wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa wananchi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia michoro ya majengo ya Nyumba za Kisasa Nyamazi zinazojengwa na kampuni ya Fumba Town Development. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitembelea majengo ya mradi huo wakati wa ziara yake kutembelea miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Mtaalamu wa utunzaji wa bustani wa Mradi wa Ujenzi wa Fumba Town Development Franko Green akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipotembelea Mradi huo nyamanzi.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.