Habari za Punde

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Soko la Samaki Chakechake linalojengwa na kampuni ya ZECCON CO.Ltd ya hapa nchini wakati wa ziara ya Rais kukagua na Kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia kuweka jiwe la msingi  ujenzi wa Soko la Samaki Chakechake linalojengwa na kampuni ya ZECCON CO.Ltd ya hapa nchini wakati wa ziara yake ya kukagua na Kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipata maelezo ya ramani kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya ZECCON CO LTD Injinia Ali Mbarouk (kulia) wakati alipoweka jiwe la Msingi  ujenzi wa Soko la Samaki Chakechake linalojengwa na kampuni hiyo ya kizalendo hapa nchini wakati wa ziara ya Rais kukagua na Kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitembelea Soko la Samaki Chakechake akifuatana na Mratibu wa Mradi huo wa Soko Nd,Khalfan Masoud kutoka Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi  ujenzi huo  wakati wa ziara ya Rais kukagua na Kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya ZECCON CO LTD Injinia Ali Mbarouk (kulia) wakati alipotembelea Chumba kitakachokuwa na Mtambo wa kuzalisha barafu katika Soko la Samaki Chakechake linalojengwa na kampuni hiyo wakati wa ziara ya Rais kukagua na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mji wa Chakechake baada ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Soko la Samaki linalojengwa na kampuni ya  ZECCON CO LTD,akiwa katika ziara ya  kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia pichani) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mji wa Chakechake baada ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Soko la Samaki linalojengwa na kampuni ya  ZECCON CO LTD,akiwa katika ziara ya  kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla

Wananchi wa Mitaa ya Mji wa Chake chake Wilaya ya Chake chake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wananchi hao baada ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Soko la Samaki linalojengwa na kampuni ya  ZECCON CO LTD,katika ziara ya  kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.