Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Akabidhi Vifaa Vya Milini Sita Kukamilisha Ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Msingi Bungi Jimbo la Tunguu.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Bungi wakati wa hafla ya kukabidhi matofali na vifaa vya ujenzi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya skuli hiyo hafla hiyo imefanyika katika viwanja skuli hiyo, wakifurahia na Mwakilishi wao.amekabidhi vifaa vya shilingi milioni Sita.kwa ajili ya kukamilisha jengo la skuli.    
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu,Mhe.Simai Mohamed Said, akikabidhi matofali na vifaa vyengine vya Ujenzi kwa Kamati ya Maendeleo ya Skuli ya Bungi hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya skuli hiyo bungi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.