Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati Maalum
ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipitia Taarifa ya Kamati Maalum
ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi na Tanzanite mara baada ya kukabidhiwa
na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kupokea
Taarifa ya Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi na Tanzanite
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara
baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya
Almasi na Tanzanite Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi Taarifa
hiyo kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa mkono Mkuu wa Majeshi
Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kumkabidhi Taarifa hiyo ambayo
aliwakabidhi pia viongozi wote wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Shekhe wa Mkoa wa
Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum akipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia mara baada
ya kukabidhiwa Taarifa hiyo ya Uchunguzi.
Wabunge
wa Kamati Maalum ya Uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi na Tanzanite nao
wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli alipokuwa akihutubia mara baada ya kukabidhiwa Taarifa hiyo ya
Uchunguzi.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge
iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia waliokaa),
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Tanzanite Doto
Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa
Kamati hizo za uchunguzi pamoja na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge
iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia waliokaa),
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Tanzanite Doto
Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa
Kamati hizo za uchunguzi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa Wajumbe
wa Kamati hiyo ya Uchunguzi wa Madini David Silinde Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment