Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Atembelea Meli Fulk Al Salamah ya Mfalme Qaboos wa Oman. Ikiwa katika Bandari ya Da es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia vitabu akiongozana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy kwenye maonyesho yaliopo ndani ya meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia vitabu akiongozana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy kwenye maonyesho yaliopo ndani ya meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia akionyeshwa ubani na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy alipotembelea maonyesho yaliopo ndani ya meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia machapisho mbalimbali kulia ni Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy ambaye ameonoza ujumbe maalum uliokuja na  meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy pamoja na ujumbe wake mara baada ya kutembelea  meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.