Habari za Punde

Rais Dkt Magufuli awasili Dart es Salaam akitokea Zanzibar leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuka kwenye ndege katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15, 2017 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na  mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitotokea Zanzibar Oktoba 15, 2017 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam Kamishina Lazaro Mambosasa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15, 2017 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Bi.Sophia Mjema mkuu wa Wilaya ya Ilala mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15, 2017
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa Mkoa wa Mjini Magharibi mapema leo kabla ya kurejea jijini Dar.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.