Habari za Punde

Madaktari bingwa wa upasuaji kutoka Falme za kiarabu wapiga kambi Hospitali ya Chakechake kutoa huduma

Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Harusi Said Suleiman, akiingia katika Hospitali ya Chake Chake Pemba, kwa ajili ya uzinduzi wa Kambi ya pili ya madaktari bingwa kutoka Jumuiya ya WAMY ya Falme za Kiarabu.

Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka Jumuiya ya WAMY   ya Falme za kiarabu, Tariq Habibu, akitowa maelezo ya jumuiya hiyo kwa Naibu waziri wa afya kabla ya uzinduzi wa kambi iliofanywa na jumuiya hiyo Kisiwani Pemba.
Baadhi ya madaktari wa jumuiya ya WAMY na watendaji wa Hospitali ya Chake Chake Pemba, wakimsikiliza Naibu waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Harusi Said Suleiman akitowa nasaha zake na kuifunguwa kambi ya matibabu na upasuaji inayoendeshwa na madaktari hao.
Baadhi ya Dawa na Vifaa ambavyo vimeletwa na Madaktari bingwa wa upasuaji kutoka Jumuiya ya WAMY katika Falme za Kiarabu kwa  ajili ya kambi ya matibabu na upasuaji huko katika Hospitali ya chake Chake Pemba.

Baadhi ya Madaktari bingwa kutoka Jumuiya ya WAMY, na Naibu waziri wa afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Harusi Said Suleiman huko Chake Chake Pemba.

Baadhi ya Dawa na Vifaa ambavyo vimeletwa na Madaktari bingwa wa upasuaji kutoka Jumuiya ya WAMY katika Falme za Kiarabu kwa  ajili ya kambi ya matibabu na upasuaji huko katika Hospitali ya chake Chake Pemba.

PICHA NA JAMILA ABDALLA -MAELEZO PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.