Habari za Punde

Sherehe za Umoja wa Mataifa kutimiza miaka 72 zafana mjini Zanzibar leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa  Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini  Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez wakati alipowasili katika Hoteli ya Serena Zanzibar jana katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipowasili katika Hoteli ya Serena Zanzibar jana katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake (katikati) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa  Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini  Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez ,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.

 Baadhi ya Mabalozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu] 27/10/2017.

 Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na wageni mbali m,bali na waalikwa wakiwa  katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu] 27/10/2017.

 Mratibu Mkaazi wa Umoja wa  Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini  Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez wakati akitoa hutuba yake katika sherehe za kutimiza miaka 72  ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa  Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini  Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez (kulia) wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72  ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72  ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mratibu Mkaazi wa Umoja wa  Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini  Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez (kulia) wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72  ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 27/10/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.