Habari za Punde

Wananchi wapata fursa ya kuitembelea Meli ya Sultan wa Oman, Fulk Al SalaamWananchi mbalimbali walifika bandarini Zanzibar kwenda kuitembelea meli ya Sultan wa Oman inayoitwa Fulk Al Salaam ambayo inazuru Zanzibar pamoja na baadhi ya Mawaziri wa Serikli ya Oman.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.