Habari za Punde

AZIMIO LA “BALFOUR” SIO MNASABA WA KUSHEREHEKEA

Imeandikwa na Rais wa Taifa la Palestina, Mhe.Mahmuud Abbas
Waingereza wengi hawamjui “Sir.Arthur James Balfour”ambaealiwahikuwaWaziriMkuumwanzonimwakarneyaishirini,lakinijina lake nimaarufusanakwaWapalestinawapataomilionikuminambili. Katikakumbukumbuyaazimio la Balfour,serikaliyaUingerezainalazimikakutumiafursahiyoilikurekebishamakosayakihistoriailiyoyafanyadhidiyawananchiwetuwaPalestina.
MnamoNovemba 2,1917 akiwaofisinikwakemjini London,“Sir.Arthur James Balfour”alisainibaruaakiliahidishirika la kizayuni,kuanzishataifalaondaniyaardhiyaPalestina. Ameahidikutoaardhihiyowakatisioyake,hukuakifumbia macho hakizakisiasazaWapalestinawalioishikatikaardhihiyokwamiakamingi. KwaWapalestinaambaoniraiawangu, matukioyaliyosababishwanabaruahiiyamekuwanauharibifumkubwa, hukupiayakiachamadharayamudamrefukwawananchiwetu.
Sera yaUingerezailiyoungamkonouhamajiwaWayahudikwendaPalestina, ikiwanimbadalawakukataakwaohakiyaKiarabuyaPalestinayakujipangiamustakabaliwao, sera hiyoimeletamvutanomkalikatiyawahamiajiwaKiyahudiwaUlayanawakaziwaasiliwaKipalestina.Palestinailiyokuwaajendayamwishoyakumalizaukoloni,inasumbukakamatunavyosumbukawananchi wake kutafutahakiyetuisiyobadilikakatikakujipangiamustakabali,jamboambalonijangakubwamnokushuhudiwanahistoriayasasa.
Mnamomwaka 1948, wanajeshiwakizayuniwaliwafukuzakwamabavukutokakatikamijiyao,watuwanaofikiamilionimojawakiwemowanawakenawatoto,hukuwakifanyamauajiyakutishanakubomoakabisavijijikadhaa.WakatitulipofukuzwakwamabavukutokamjiwaSafad, umriwanguulikuwamiakakuminatatu, wakati Israel ikisherehekeakuasisitaifa lake, sisiWapalestinatunakumbukasikuyagizazaidikatikahistoriayetu.
Azimio la “Balfour”kwahakikasiotukio la kusahaulika,kwaniwananchiwanguleowanaofikiazaidiyamilionikuminambiliwamesambaadunianikote,baadhiyaowakilazimishwakwanguvukuachamijiyaomnamomwaka 1948,hukuzaidiyaWapalestinamilionisitabadowanaishiuhamishonihadileohii, waliosaliakatikamijiyaonimilioni(1.75) ilawaowanaishichiniyamfumowakibaguziuliopangikanchini Israel.
Aidha,Wapalestinazaidiyamilioni (2.9) wanaishiUkingowaMagharibiwakiwachiniyauvamiziwakijeshinawakinyamauliogeukakuwaniukoloni.Miongonimwaowapowakaziwa Jerusalemambaoniwaasilikabisawapataolakitatu (300,000),badowanapambananasera zakivamiziza Israel zinazowahamishakwanguvukutokakatikamjiwao.HukuwapalestinawenginewapataomilionimbiliwapokatikaUkandawa Gaza, ambayonigereza la wazilinaloharibiwamarakwamaranavifaavyajeshi la Israel.
Azimio la “Balfour” kwahakikasiomnasabawakusherehekea,hasakatikawakatiambaobadoupandemmojaunadhulumiwanaunapatadhikikwasababuyaazimiohilo, kuasisiwakwataifa la watufulani,kumepelekeakufukuzwakwawatuwenginenakuendeleakukandamizwa, haiwezekanikulinganishakatiyamvamizinataifalinalokaliwakimabavu. Ni lazimakulisawazishakosahiliambaloUingerezainabebajukumukubwanainalazimusherehehizozifanywekatikasikuambayo, wakaziwotewaardhihiiwakiwakatikauhuru,heshimanausawa.
Tukio la kusainiazimio la “Balfour”, limeshatokeanahalibadilikilakininijamboambaloyapasakurekebishwa,jambohililinahitajiunyenyekevu,ushujaa,kukubaliyaliyopita,kukirimakosanakuchukuwahatuastahikizakurekebishamakosahayo. Namikatikamtiririkohuu,ninapongezaushujaawawananchiwaUingerezawanaoitakaserikaliyaokuchukuahatuakamahizizifuatazo: Wabunge 274 wamepigakurayakulitambuataifa la Palestina,wakatimaelfuyawananchiwakiitakaserikaliyaokuombaradhikwaazimio la Balfour,hukumakundikadhaanaasasizakiraiazikiandamanakuungamkonohakizataifaletubilausumbufuwowote.
Pamojanamatesotuliyokumbananayokarneiliyopita,badowananchiwaPalestinawamesimamakidete,kwanisisiniwananchitunaojifaharishakwaurithi wake mwingi,ustaarabu wake mkongwenakwakutambuayakwambaPalestinandiochimbuko la dinitatuzambinguni.Ukweliwa mambo,tumezoeakwamiakamingikuishinamatukioyaliyotuzunguka,ambayoyamesababishwanamtiririkowamatukioyaliyoanzamwaka1917, tukafikiamakubalianomachungukwaajiliyakufikiaamani, kuanziakukubalikuasisiwataifa la Palestinakwaasilimia 22% tuyaardhiyakihistoria,kulitambuataifa la Israel bilayasisikutambuliwahadileohii.
Tukawanamsimamowaufumbuziwadolambilikwamudawamiakathelathiniiliyopita,msimamoambaoutekelezaji wake umekuwahauwezekanipamojanamudakupita. Hivyobasi, mudawakuwa Israel inaendeleakupatakinganamisaadakutokajamiizakimataifa,badalayakuichukuliahatuakwaukiukaji wake unaoendeleadhidiyamisingiyasheriazakimataifa, jambohilohalitaihamasishakuachauvamizi wake nalazimahuuutakuwanimtazamodhaifu.
Inapasakwa Israel namarafikizakekutambuavizurikuwa,ufumbuziwakuwepodolambiliunawezakwishakabisa,isipokuwataifa la Palestinalitabakihapanakuendeleanajuhudizakeilikurudishauhuru wake, iwekupitiaufumbuziwadolambili au mapambanokwaajiliyakujipatiahakisawakwakilamkaziwaPalestinayakihistoria.
MudaumefikasasakwaserikaliyaUingerezakuchukuanafasiyake,kwanikuchukuahatuastahikikunalengakumalizauvamizikwamujibuwasheriazakimataifanamaazimioyake,likiwemoazimio la hivikaribuni la Baraza la Usalamanamba 2334 nakulitambuataifa la Palestinakwamujibuwamipakayamwaka 1967,lenyemjimkuu wake Jerusalem yaMashariki. Kufanyahivyo, kutapelekambeleupatikanajiwahakizakisiasazawananchiwaPalestina,kuondoadhulmakwawananchihaonausawawahakizakezakisheria,bilashakautachangiakupatikanaamaniiliyosawayauadilifunayakudumukatikaMasharikiya Kati kwaWapalestina,waisraelnamataifamengineyaeneohusika.

Mahmoud Abbas, Raiswataifa la PalestinanaMwenyekitiwaKamatiyautendajiya P.L.O.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.