Habari za Punde

Mchezo wa Ufunguzi Kombe la Muungano Kati ya Uhamiaji ya Tanzania Bara na Mafunzo ya Zanzibar Timu ya Uhamiaji Imeshinda kwa Mabao 40 - 39.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Netiboli Muungano na kutowa nasaha zake na kuahidi kuchangia fedha kufanikisha Michuano hiyo inayofanyikakatika viwanja vya Gymkhana Zanzibar.
Mgeni Rasmin wa Michuano hiyo ya Kombe la Muungano Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe. Marine Thomas akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo yanayozikutanisha Timu 12 Siti kutoka Zanzibar na Sita kutoka Tanzania Bara kutafutwa Bingwa wa Muungano wa mchezo huo. na kuwataka kuutumia mchezo na kuimarisha udugu wa pande hizi pili za Muungano wa Tanzania.
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja akirusha mpira kuashiria kuyazindua mashindano hayo ya Kombe la Muungano katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar.kwa mchezo wa ufunguzi Kati ya Mafunzo yac Zanzibar na Uhamiaji ya Tanzania Bara.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.