Habari za Punde

Bonanza la kuadhimisha siku ya Ukimwi duniani, Micheweni

 MKUU wa Wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib, akipima afya yake wakati wa bonanza la kuadhimisha siku ya Ukimwi duniani, lililofanyika huko katika uwanja wa Shamemata Micheweni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA). 
 DK Mmanga Seif Massoud ambaye pia ni mshauri nasaha kutoka ZAPH+, akimpima afya mmoja wa wananchi wa Wilaya ya Micheweni aliyejitokeza kujuwa afya yake wakati wa Bonanza la Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 BAADHI ya wananchi waliohudhuria maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ambayo hufanyika kila Disemba mosi, wakiwa katika foleni kupima afya zao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WANANCHI mbali mbali waliopima afya zao wakipewa majibu yao, kutoka kitengo cha ushauri nasaha na upimaji VVU kutoka ZAPH+ Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.