BAADHI ya Masanduku ya kufugia nyuki yaliyotolewa na Jumuiko la Mabadiliko ya Tabianchi Zanzibar (ZACCA), kwa wananchi wa Wambaa na Mgelema, kwa lengo la kuhifadhi misitu ya mikandaa na kuzuwia uharibifu wa mazingira kwa ukataji wa miti.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).
MKURUGENZI wa Idara ya Misitu na Mali zisizorejesheka Zanzibar, Soud Juma Mohamed akizungumza na wananchi wa kwaazini Wambaa Wilaya ya Mkoani, wakati alipokuwa akikabidhi masanduku ya kufugia nyuki yaliyotolewa na Jumuiko la Mabadiliko ya Tabianchi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).
MKURUGENZI wa Idara ya Misitu na Mali zisizorejesheka Zanzibar, Soud Juma Mohamed akikmabidhi sheha wa shehia ya Wambaa Mohamed Suleiman, masanduku ya kufugia nyuki kwa vikundi viwili vinavyohifadhi mazingira katika shehia hiyo, yaliyotolewa na Jumuiko la Mabadiliko ya Tabianchi Zanzibar (ZACCA).(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).
No comments:
Post a Comment