Habari za Punde

Rais Dk Shein alipowaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni Ikulu

BAADHI ya Mawazirui wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Miko wa Kusini Unguja na Kusini na Pemba Ikulu Zanzibar leo.
 MAKAMANDA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa wa Mikoa wa Kusini Unguja na Kusini Pemba leo Ikulu.
 WATEULE wa Nafasi za Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Hassan Khatib Hassan na Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdallah na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mwanajuma Majid Abdallah wakipitia hati za kiapo kabla ya kuapishwa Ikulu leo. 
 SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa Ikulu Zanzibar.
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa na Naobu Katibu Mkuu Ikulu Zanzibar leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya kiapo ya Mkuu waMkoa wa Kusini Unguja Hassan Khatib Hassan baada ya kumaliza kula kiapo Ikulu leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya Kiapo Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan , hafla hiyo imefanyika Ikulu.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah , hafla hiyo imefanyika Ikulu leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya kiapo ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah Ikulu leo.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya Kiapo Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
 /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Mwanajuma Majid Abdallah Ikulu leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali baada ya kumalizika hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa na Naibyu Katibu Mkuu Ikulu leo. 7/12/2017.        

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.