Habari za Punde

Masheha Mkoa wa Kaskazini Unguja wapewa taarifa ya ujenzi wa barabara

 Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Mustafa Aboudjumbe kushoto akijibu maswala mbalimbali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa  Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Sheha wa Shehia ya Matemwe Denge Khamis Silima akiuliza maswali katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa  Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Hassan Ali Kombo akiliza maswali katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa  Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud kulia akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa  Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Vuai Mwinyi Mohammed kulia akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa  Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.

PICHANA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.