Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Afungua Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) linalofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Profesa Alawia Omar alipowasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi Kikwajuni kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Kiswahili.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA  Ndg. Mohammed Seif Khatib wakielekea katika ukumbi wa mkutano. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe. Rashid Ali Juma,alipowasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi kikwajuni kuhudhuria izinduzi wa Kongamano la Kiswahili la Kimataifa Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA Mohammed Seif Khatib alipowasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan King.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisoma wasifu wa Mtunzi wa Vitabu vya fasihi simulizi Bwana MSA, kuzindua Kongamano hilo la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) linalofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza kikwajuni na kuwashirikisha Wadau wa Kiswahili kutoka sehemu mbalimbali duniani.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kiswahili la Kimataifa Zanzibar, linalofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza kikwajuni Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.