Habari za Punde

Wasanii Pemba wakutana na Waziri wa Habari ,Utalii, Utamaduni na Michezo Zanzibar,

WASANII wa fani mbali mbali, ikiwemo maigizo, waimbaji, uchoraji na maafisa utamaduni Wilaya nne za Pemba, wakimsikiliza kwa makini Waziri wa habari Utalii, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Rashid Ali Juma wakati alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi wa uwanja wa Gombani chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).
 WAZIRI wa Habari Utalii, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Rashid Ali Juma, akizungumza na wasanii mbali mbali Kisiwani Pemba,ikiwa ni ziara yake ya kusikiliza changamoto zinazowakabili wasanii wa Pemba, kikao kilichofanyika katika uwanja wa michezo Gombani Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).

MSANII Mkongwe Kisiwani Pemba Khamis Nyange Makame (Profesa gogo) akichangia katika kikao cha wasanii kilichoandaliw ana Wizara ya habari Utalii, Utamaduni na Michezo Zanzibar, juu ya kuendeleza utamaduni wa mzanzibari.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.