Habari za Punde

Bandari ya Mkoani inavyowajibika


BANDARI ya Mkoani ni moja ya bandari muhimu kwa Kisiwa Cha Pemba, pichani Meli ya Mv Hasanti ikiteremsha mizigo mbali mbali ya wafanya biashara wa Pemba, kama inavyoonekana katika Picha.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

1 comment:

  1. Hakuna kupata kudogo, lkn kwa Pemba hasa kuna na Bandari kama ya Mkoani, ni aibu kidogo, Zao kuu la Uchumi wa nchi hii, karafuu kwa miaka yote limekuwa likipakiwa kupitia Bandari hii, basi hata kujengwa kwa Bandari yenye hadhi kidogo inayoendanda angalau na thamani ya zao la karafuu tu, tunashindwa kuijenga, tu liangalieni hili.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.