Habari za Punde

Waziri wa Afya akutana na Madaktari Bingwa wa Hosptal ya Rufaa ya Mnazi mmoja

  Daktari Bingwa wa Saratan Abrahman Khalfan Said akielezea malengo ya kikao cha Madaktari Bingwa wa Hosptal ya Rufaa ya Mnazi mmoja na uongozi wa juu wa Wizara ya Afya. Kikao hicho kilifanyika Wizara ya Afya Mnazi mmoja mjini Zanzibar.
 Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Madaktari Bingwa wa Hospital ya Rufaa ya Mnazi mmoja katika kikao cha kupanga namna bora ya kuimarisha huduma zinazotolewa katika Hosptal hiyo. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.