BALOZI wa China nchini Tanzania Wang Ke, akikagua
baadhi ya maeneo ya Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, wakati alipotembelea
Hospitali hiyo katika ziara yake Kisiwani Pemba.(PICHA NA HABIBA ZARALI, PEMBA)
BALOZI wa China Nchini Tanzania Wang Ke,
akimuangalia mmoja ya watoto waliofika katika sehemu ya mapokezi ya watoto kwa
ajili ya kupata matibabu, katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani katika ziara
yake Kisiwani Pemba.(PICHA NA HABIBA
ZARALI, PEMBA)
BALOZI wa China Nchini Tanzania Wang Ke,
akimuangalia Mtoto Harithi Suleiman Hamad mwenye umri wa mwaka mmoja, aliyeathirika
Mfupa wa mguu, ambapo kwa sasa mtoto huyo yuko katika hali ya uwangalizi wa
madaktari wa kichina na wazalendo.(PICHA
NA HABIBA ZARALI, PEMBA)
BALOZI wa China Nchini Tanzania Wang Ke, akupata
maelezo kutoka kwa mkuu wa CT Scan Muhsin Aley, wakati alipotembelea kitengo
mashine hizo wakati wa ziara yake ya siku moja Kisiwani Pemba.(PICHA NA HABIBA ZARALI, PEMBA)
BALOZI wa China Nchini Tanzania Wang Ke, akiangalia
picha zinazoonyesha uwepo wa dalili za maradhi ya Kichocho, baada ya kufanyika
kwa utafiti wa maradhi hayo.(PICHA NA HABIBA
ZARALI, PEMBA)
No comments:
Post a Comment