Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ajumuika na Wananchi wa Zanzibar Katika Kisomo cha Kumuombea Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na  Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji  wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochakeNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.