Habari za Punde

Ufunguzi wa maonyesho ya wiki ya utafiti wa sayansi ya bahari

 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dare es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari Chuo Kikuu Dare es salaam alioko Zanzibar Dk,Matern S.P.Mtolera akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni rasmi  katika Ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dare es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.

 Baadhi ya wanafunzi wa Sayansi  waliohudhuria katika Ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dare es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.

 Mgeni Rasmi Mkuu wa Kitengo cha Uratibu waElimu ya Juu Sayansi na Teknolojia kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Aida Juma akitoa hotuba ya ufunguzi wa 
Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dare es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.

  Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari Chuo Kikuu Dare es salaam alioko Zanzibar Dk,Matern S.P.Mtolera akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dare es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Kitengo cha Uratibu waElimu ya Juu Sayansi na Teknolojia kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Aida Juma kushoto akipatiwa maelezo kuhusiana na utafiti wa mwani na Mtafiti wa Mwani Dk,Flower Ezekiel Msuya katika 
ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa  Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dare es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.


PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANIZBAR.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.